Jumapili, 28 Agosti 2016

IMAGE LAB PRESENTS NANI MTETEZI

Nani mtetezi ni filamu yenye maudhui ya kidini iko njiani kutoka hivyo wewe kama mdau unatakiwa kupata nakala yako haraka ili usipitwe na mafunzo yaliyomo kwenye filamu hiyo

Alhamisi, 25 Agosti 2016

Catherine Mkoma Akihudumu jukwaani

Catherine Mkoma akifanya Huduma ya uinjiristi kwa njia ya uimbaji na kundi lake,adai kupendezwa sana na Huduma anayoifanya kwani ni kama sadaka yake kwa Mungu

Jumanne, 23 Agosti 2016

Live performance Christina shusho ft Joshua and Upendo kirailo

Show ilifanyika ktk ukumbi wa CCC Upanga ikishuhudiwa na Mamia ya watu walioenda kuburudika na kuuona uwepo Mungu

Jumatatu, 22 Agosti 2016

Camera man wa Anolog films

Akihakikisha kuwepo kwa kumbukumbu ya siku ya vijana wa kanisa la Beroya Bible Fellowship Church

Jumapili, 14 Agosti 2016

UZINDUZI WA NEEMA GOSPEL CHOIR

Neema Gospel choir inawakaribisha wote ktk uzinduzi wa ALBAM yao iitwayo HAKI YAKE MUNGU utakaofanyika katika ukumbi wa HAI HALL sabsaba.hamna kiingilio wote mnakaribishwa

Ijumaa, 12 Agosti 2016

MAMBO MATATU AMBAYO GOSPAL MUSIC AND FILM REVOLUTION YANAJISHUGHULISHA NAYO

TUNAYO FURAHA KUKUTANGAZIA WEWE MWIMBAJI NA UNAYE JISHUGHULISHA NA MAMBO YA GOSPAL KUWA GOSPAL MUSIC NDIO SEHEMU MAHUSUSI YA KUTANGAZA KAZI ZAKO NA KUFANYA KAZI NZURI ZAIDI.MAWASILIANO YETU 0718 365 905