Jumapili, 28 Agosti 2016

IMAGE LAB PRESENTS NANI MTETEZI

Nani mtetezi ni filamu yenye maudhui ya kidini iko njiani kutoka hivyo wewe kama mdau unatakiwa kupata nakala yako haraka ili usipitwe na mafunzo yaliyomo kwenye filamu hiyo

Alhamisi, 25 Agosti 2016

Catherine Mkoma Akihudumu jukwaani

Catherine Mkoma akifanya Huduma ya uinjiristi kwa njia ya uimbaji na kundi lake,adai kupendezwa sana na Huduma anayoifanya kwani ni kama sadaka yake kwa Mungu

Jumanne, 23 Agosti 2016

Live performance Christina shusho ft Joshua and Upendo kirailo

Show ilifanyika ktk ukumbi wa CCC Upanga ikishuhudiwa na Mamia ya watu walioenda kuburudika na kuuona uwepo Mungu

Jumatatu, 22 Agosti 2016

Camera man wa Anolog films

Akihakikisha kuwepo kwa kumbukumbu ya siku ya vijana wa kanisa la Beroya Bible Fellowship Church

Jumapili, 14 Agosti 2016

UZINDUZI WA NEEMA GOSPEL CHOIR

Neema Gospel choir inawakaribisha wote ktk uzinduzi wa ALBAM yao iitwayo HAKI YAKE MUNGU utakaofanyika katika ukumbi wa HAI HALL sabsaba.hamna kiingilio wote mnakaribishwa

Ijumaa, 12 Agosti 2016

MAMBO MATATU AMBAYO GOSPAL MUSIC AND FILM REVOLUTION YANAJISHUGHULISHA NAYO

TUNAYO FURAHA KUKUTANGAZIA WEWE MWIMBAJI NA UNAYE JISHUGHULISHA NA MAMBO YA GOSPAL KUWA GOSPAL MUSIC NDIO SEHEMU MAHUSUSI YA KUTANGAZA KAZI ZAKO NA KUFANYA KAZI NZURI ZAIDI.MAWASILIANO YETU 0718 365 905

Nangoja - Christina Shusho | Latest Gospel Video Song 2015



ANGALIA NYIMBO YA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJIRI CHRISTINA SHUSHO

Nangoja - Christina Shusho | Latest Gospel Video Song 2015



ANGALIA NYIMBO YA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJIRI CHRISTINA SHUSHO

Miriam Lukindo Mauki feat Paul Clement - Amen Haleluya (Official HD Mu...

ANGALIA VIDEO MPYA  YA Miriam Lukindo Mauki feat Paul Clement - Amen Haleluya (Official HD)
mwimbaji wa nyimbo za injiri Miliam Lukindi Mauki aachia nyimbo nyingine iitwayo Amefanya

Alhamisi, 11 Agosti 2016

VIJANA WA KANISA LA BEROYA BIBLE FELLOWSHIP CHURCH WANAYO FURAHA KUKUHARIKA WEWE KIJANA KATIKA SIKU YA VIJANA ITAKAYO FANYIKA KANISANI KWAO MAENEO YA KIMARA BARUTI,VIJANA MNAKARIBISHWA KWA WINGI KUJA KUUNGANA NAO KUSHEREHEKEA SIKU HIYO.WAIMBAJI KUTOKA MAKANISA MBALIMBALI WATAKUWEPO.ITAFANYIKA TAREHE 21/8/2016

ANOLD NGOMA ATANGAZA KUACHIA NYIMBO YAKE

MWIMBAJI WA GOSPAL HIPHOP ANOLD NGOMA ATANGAZA KUACHIA NYIMBO YAKE MPYA IITWAYO RAP YA YESU AMBAYO ITAACHIWA JUMAMOSI HII YA TAR 13/8/2016.KAA TAYARI KUISIKIA

ANOLOG FILMS COMPANY YAJIPANGA KUFANYA FILAMU YA DINI


KAMPUNI YA UZALISHAJI FILAMU IITWAYO ANOLOG FILMS SASA INAJIANDAA KUTAYARISHA FILAMU YA DINI YENYE DHAMIRA YA KUBADILISHA MITAZAMO MIBAYA YA WATU JUU YA WOKOVU.